Proverbs 25:21-22


21 aKama adui yako ana njaa, mpe chakula ale;
kama ana kiu, mpe maji anywe.
22 bKwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake,
naye Bwana atakupa thawabu.
Copyright information for SwhNEN